Isaiah 45:24-25


24 aWatasema kuhusu mimi,
‘Katika Bwana peke yake
ndiko kuna haki na nguvu.’ ”
Wote ambao wamemkasirikia Mungu
watamjia yeye, nao watatahayarika.

25 bLakini katika Bwana wazao wote wa Israeli
wataonekana wenye haki na watashangilia.
Copyright information for SwhKC